Bienfait Drabu : Tunaunga mkono serikali ya jimbo katika masuala ya udongo
Kikao cha urejeshaji ardhi kuhusu maendeleo ya mkakati jumuishi wa ardhi wa mkoa ilifungwa Ijumaa tarehe makumi tatu na moja januari, 2025 mjini Bunia. Mkutano huu uliowakutanisha viongozi mbalimbali wa kimila, watu mashuhuri na mawakala wa huduma mbalimbali za serikali, ulilenga kuliwezesha jimbo kuwa na waraka wenye uwezo wa kutatua