Josué Kapisa: Inaomba viongozi wote wafuatiliye suala la taka taka
Hali ya kukatisha tamaa ya vilima vya taka taka vilivyotawanywa hovyo mjini Beni, inatia wasiwasi viongozi wa mitaa wa Kata Nzuma. Kwa Josué Kapisa, mkuu wa kitongoji hiki, hatari za kiafya ni kubwa kwa wakazi wanaozunguka kwa sababu hakuna hatua za kuzuia zinazochukuliwa na viongozi ili kusimamia ipasavyo taka taka